kutokana na hali ya hewa kuwa mbaya ikiambatana ukungu na wingu zito mamlaka ya hali ya hewa imewashauri chadema leo kutokurusha chopa yao.. kuzuiwa kwa chopa kulipelekea ratiba ya mikutano ya chadema kuharibika na baadhi ya mikutano kuhahirishwa akiongea na mwandishi wa habari hizi kurugenzi ya habari ya chadema alisema tulikuwa tumeshafanya mikutao saba wakati hali ya hewa ina badirika ghafula..
No comments:
Post a Comment