Sunday, January 19, 2014

MAANDAMANO YA CHADEMA KUELEKEA UZINDUZI WA KAMPENI SOMBETINI

Vumbi likitimka baada ya vijana wa pikipiki kufanya mbwembwe wakati wakiingia kwenye viwanja vya soko la Mbauda unakofanyikia mkutano wa uzinduzi wa kampeni za udiwani

Baadhi ya viongozi wa chadema waliohudhuria mkutano wa ufunghuzi wa kampeni za chadema wakifuatilia mkutano

MWENYEKITI wa Chadema  wilayani Arusha, Ephata Nanyaro akiongea na wananchi wa sombetini  ambapo aliwaomba wamchague Bananga akiahidi kuwa atampa mbinu aliyotumia kuwezesha kata yake ya levelos ambayo yeye ni diwani kupata kilomita nyingi za barabara za lami


No comments:

Post a Comment