Vumbi likitimka baada ya vijana wa pikipiki kufanya mbwembwe wakati wakiingia kwenye viwanja vya soko la Mbauda unakofanyikia mkutano wa uzinduzi wa kampeni za udiwani
Baadhi ya viongozi wa chadema waliohudhuria mkutano wa ufunghuzi wa kampeni za chadema wakifuatilia mkutano
MWENYEKITI wa Chadema wilayani Arusha, Ephata Nanyaro akiongea na wananchi wa sombetini ambapo aliwaomba wamchague Bananga akiahidi kuwa atampa mbinu aliyotumia kuwezesha kata yake ya levelos ambayo yeye ni diwani kupata kilomita nyingi za barabara za lami
JUMUIYA YA WAZAZI CCM MKOA WA DAR ES SALAAM YAADHIMISHA MIAKA 49 YA CCM KWA
KAZI ZA KIJAMII TEMEKE
-
Dar es Salaam 02 Februari, 2026
Jumuiya ya Wazazi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dar es Salaam leo
tarehe 02 Februari, 2026, imeungana na wanaCCM n...
1 hour ago

0 Comments:
Post a Comment