Muasisi na katibu mkuu wa kwanza wa TLP, Peter Golugwa akikabidhiwa kadi ya Chadema na katibu wa mkoa, Amani Golugwa kwenye ofisi zao zilizoko Ngarenaro
Anasema kuwa mwaka 2000 yeye ana aliyekuwa mwenyekiti wake, Leo Lekamwa walimpisha Agustino Mrema akidhani kuwa ataimarisha chama hicho lakini kimezidi kudidimia mpaka sasa kinaanza kuvaa gamba
No comments:
Post a Comment