katibu wa chadema mkoani Arusha, Amani Golugwa akizindua T Shirt na CD zitakazouzwa kwenye ofisi zao kwa ajili ya kuchangia operesheni Vua Gamba Vaa Gwanda iweze kusambaa mpaka vijiji vyote vya mkoa huu, kushoto kwake mwenyekiti wa wilaya ya Arusha, Ephata Nanyaro na kulia , Mwenyekiti wa Bavicha Arusha Mjini, Happy Chale
No comments:
Post a Comment