Friday, May 25, 2012

Gekul avua magamba 96 Manyara

Mbunge wa Viti Maalum, Pauline Gekul (Chadema) akizindua Ofisi ya Chadema kwenye kijiji cha Mwikantsi Kata ya Mamire, Wilayani Babati baada ya kuvuna mabalozi 70 na wanachama 26 wa CCM kupitia operesheni vua gamba vaa gwanda.

No comments:

Post a Comment