Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango, amefika nyumbani kwa Waziri Mkuu mstaafu, Hayati Edward Ngoyai Lowassa, aliyefariki dunia februari 10, 2024, kwa ajili ya kutoa salamu za pole kwa na kusaini kitabu cha maombolezo.
Waziri Kijaji Ampokea Braydon Bent
-
📍Atimiza ndoto yake ya siku nyingi ya kuitembelea Tanzania
WAZIRI wa Maliasili na Utalii Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) amempokea shabiki
mashuhuri wa klabu...
1 hour ago


0 Comments:
Post a Comment