| Rais, Samia Suluhu Hassan akimvalisha Cheo kipya cha Jenerali Jacob John Mkunda kabla ya kumuapisha kuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi nchini Tanzania (Chief of Defense Forces-CDF) katika hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 30 Juni, 2022. |
No comments:
Post a Comment