Prof Edward Gamaya Hoseah ameibuka kidedea kwa kupata kura 621 kwenye kinyang'anyiro cha kuwania nafasi ya Rais wa Chama cha Mawakili Tanganyika, (TLS) hivyo kuwa Rais kwa a2amu ya pili.
Katika uchaguzi huo uliokuwa una ushindani mkali uliofanyika leo jijini Arusha ambapo Prof Hosea alikuwa anachuana na mawakili Harold Sungusia aliyepata kura 380 na Jeremiaj Mtobesya aliyepata kura 145.

Prof Edward Hoseah akipiga kura majira ya asubuhi.

No comments:
Post a Comment