Rais, Samia Suluhu Hassan akimkabidhi zawadi ya picha yenye muonekano wa mlima wa Kilimanjaro, Vicky Ford Waziri anaeshughulikia Masuala ya Afrika nchini Uingereza, alipofika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mhe. Vicky Ford Waziri anaeshughulikia Masuala ya Afrika nchini Uingereza alipofika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.
Rais, Samia Suluhu Hassan, akiwa katika picha na Vicky Ford Waziri anaeshughulikia Masuala ya Afrika nchini Uingereza, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.
Rais, Samia Suluhu Hassan, akiwa katika picha ya pamoja na Vicky Ford Waziri anaeshughulikia Masuala ya Afrika nchini Uingereza, aliyeambatana na Ujumbe wake Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma




0 Comments:
Post a Comment