Friday, March 25, 2022

MBOWE ATINGA MAHAKAMA YA AFRIKA MASHARIKI KUSIKILIZA HUKUMU

Mwenyekiti wa Taifa wa CHADEMA,  Freeman Mbowe akiwa ameambatana na Wakili wake, John Malya tayari wamewasili katika Mahakama ya Haki ya Afrika  Mashariki (EACJ) jijini Arusha tayari kupokea hukumu juu wa uhalali wa Mabadiliko ya Sheria ya vyama vya Siasa ya mwaka 2019 _(the Political Parties Amendments Act 2019)_ katika shauri namba 3 la 2020.

 

No comments:

Post a Comment