Rais, Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na Viongozi Wakuu wa mataifa mbalimbali duniani wakishiriki katika Mkutano wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Umoja wa Ulaya na Umoja wa Afrika (EU-AU Summit) leo tarehe 17 Februari, 2022 Brussels nchini Ubelgiji.
No comments:
Post a Comment