Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi ameondoka Zanzibar April 7, mwaka huu kuelekea Nchini Msumbiji kumuwakilisha Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, katika Mkutano wa Wakuu wa Nchi za SADC unaofanyika Jijini Maputo, Msumbiji
RC SENDIGA APINGA TAKWIMU ZA DAWA MANYARA
-
Na Mwandishi Wetu, Manyara.
MKUU wa Mkoa wa Manyara, Mhe. Queen Sendiga, amepinga takwimu zinazoonesha
kuwa upatikanaji wa huduma za dawa mkoani humo ume...
4 hours ago


0 Comments:
Post a Comment