MAJALIWA AFANYA KIKAO NA MAWAZIRI NA MAKATIBU WAKUU WA WIZARA
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameongoza Mkutano wa Kazi wa Baraza la Mawaziri ambao pia ulihudhuriwa na Makatibu Wakuu, baadhi ya Makamishina na Wakuu wa Taasisi.
Kikao hicho kimefanyika Aprili 8, 2021 jijini Dodoma.
No comments:
Post a Comment