Kutoka Chato mkoani Geita kwenye ibada maalum ya mazishi ya aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano Hayati Dkt. John Pombe Magufuli. Tayari wananchi wameshawasili katika uwanja wa Magufuli ambapo shughuli za ibada zitafanyika.
DKT. MWIGULU KUMUWAKILISHA RAIS DKT. SAMIA KWENYE HAFLA YA UTOAJI TUZO ZA
UHIFADHI NA UTALII
-
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Januari 31, 2026 amewasili katika
Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) ambapo anatarajiwa
kumwakilisha...
57 minutes ago







0 Comments:
Post a Comment