MAAJABU YA VOLKANO YA OL DONYO LENGAI


Picha inayoonyesha mwonekano mzuri wa volkano ya Ol Doinyo Lengai, "Mlima wa Mungu" iliyoko Gregory Rift, Kusini mwa Ziwa Natron ndani ya Mkoa wa Arusha imechaguliwa kati ya picha 15 bora katika mashindano ya picha ya kimataifa ya Wiki Loves Earth 2020. Ni picha pekee kutoka Afrika iliyofanikiwa kuingia 15 bora.
Mungu Ibariki Tanzania


 

0 Comments:

Post a Comment