Friday, September 1, 2017

LIVE #UPDATES: Kongamano la Miaka 25 ya CHADEMA Arusha lnaendelea, Mgeni rasmi katika Kongamano hilo ni Halima Mdee

Katibu wa CHADEMA Mkoa wa Arusha Elias Mungure 

Mwenyekiti wa BAWACHA Taifa Mh.Halima Mdee Mara baada ya kuwasili katika Safari Hotel kwa ajili ya kuhudhuria Kongamano la Miaka 25 ya CHADEMA ambapo yeye ni Mgeni Rasmi.

No comments:

Post a Comment