Friday, September 1, 2017

LIVE #UPDATES : Halima Mdee alivyowasili Katika Kituo cha watoto yatima Samaritan village Arusha ,Tanzania nakupanda mti uliopewa jina lake

Ikumbukwe Halima Mdee amewasili Arusha katika maadhimisho ya Miaka 25 tangu kuanzishwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo - CHADEMA maadhimisho yaliyoandaliwa na BAWACHA nakupewa jina la SILVER JUBILEE.
Halima Mdee alipowasili Katika Kituo cha Samaritan village Tanzania kwa ajili ya kuwatembelea watoto yatima katika Kituo cha Samaritan village Tanzania.




Mkuu wa Kituo cha Samaritan Village Tanzania Bw. Josephat Manyi akishukuru kwa ujio wa Mwenyekiti wa BAWACHA Taifa Halima Mdee.


Mbunge wa Viti Maalum Cecilia Paresso akiwashukuru uongozi wa BAWACHA Taifa na Kupongeza Kituo cha Samaritan village kwa kuwalelea watoto yatima.











Mwenyekiti wa BAWACHA Taifa Halima Mdee akikabidhiwa kuupanda ili iwe kumbukumbu ya Kuwa aliwahi kutembelea Kituo hicho. Huku Mti huo ukipewa jina la Halima Mdee.


Mwenyekiti wa BAWACHA Taifa Halima Mdee akipanda Mti kwa alipozuru Kituo hicho watoto yatima Samaritan village.

 




Mwenyekiti wa BAWACHA Taifa Halima Mdee akiagana na Mkuu wa Kituo cha Samaritan village baada ya kupanda mti wa kumbukumbu.


Mwenyekiti wa BAWACHA Taifa Halima Mdee akikabidhi msaada wa Mchele kwa ajili ya kuchangia huduma ya chakula kwa watoto yatima katika Kituo hicho.


Mwenyekiti wa BAWACHA Taifa Halima Mdee akikabidhi Msaada wa sabuni kwa ajili ya watoto yatima katika Kituo cha Samaritan village Tanzania.


Picha ya pamoja Mbunge wa Kawe na Mwenyekiti wa BAWACHA Taifa Halima Mdee akipata Picha ya pamoja na Mara baada ya kutembelea Kituo hicho na kutekeleza shughuli ya kupanda mti wa kumbukumbu uliopewa jina lake. 


Katibu wa BAWACHA Mkoa wa Arusha Bi. Irine Kimati na Mkuu wa Kituo cha Samaritan village Tanzania.

No comments:

Post a Comment