Kufuatia tetemeko la September mwaka jana Kagera shirika la Jambo Bukoba linaloendeleza vipaji vya watoto kupitia michezo mkoani Kagera chini ya ufadhili wa Clemence Mulokozi kutoka Ujerumani wamefanya bonanza la michezo kwa lengo la kuendelea kuwaondolea mawazo watoto ambao bado wana fikra za tetemeko. Play Video Hapa chini
No comments:
Post a Comment