UPDATES: Zitto alivyoguswa na kuungua kwa Ofisi za Mawakili Fatma na Lawrence Masha

Baada ya Kaimu Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Lucas Mkondya kuthibitisha kushambuliwa ofisi za wanasheria za IMMMA saa 8 usiku wa kuamkia leo Jumamosi, Agosti 26.
Hatimae Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe ameshtushwa na tukio hilo lililotokea katika ofisi ya Mawakili wa IMMMA advocates.
Hata hivyo Kaimu Kamanda, Lucas Mkondya amesema kuwa wapo hapa eneo la tukio, uchunguzi unaendelea na ukikamilika tutawapa taarifa zaidi.

0 Comments:

Post a Comment