Tuesday, August 29, 2017

MICHEZO: TFF Imetengenezea Ngao mpya Simba SC

 TFF wamewatengenezea Ngao mpya Simba ambayo haina makosa, pamoja na hayo TFF imethibitisha nahodha wa Taifa Stars Mbwana Samatta na Elias Maguli wamewasili kambini wakati Abdi Banda ataingia mchana wa leo na Simon Msuva kesho.
Play Hii Video hapa chini..


No comments:

Post a Comment