VIDEO: Lengai Ole Sabaya Ameachiwa kwa dhamana ..

Leo Augusti 11 2017 mahakama Arusha imemwachia kwa dhamana aliyekua Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi ‘UVCCM’ BLengai Sabaya .
Lengai Sabaya alifikishwa mahakami nakusomewa mashtaka mawili kujifanya Mtumishi wa Usalama wa Taifa na kughushi kitambulisho cha Usalama wa Taifa na kukitumia kutapeli.
Hata hivyo mahakama ilimwachia kwa dhamana ya Tsh. Mill. 3 baada ya kukidhi masharti ya kuwa na wadhamini wawili.       

PLAY VIDEO YA VOA TV NEWS HAPA CHINI  
  

0 Comments:

Post a Comment