HABARI KUU: Mbunge wa Arusha mjini na Waziri kivuli wa Mambo ya ndani Godbless Lema amelaani vikali kitendo cha utekaji wa watoto kinachoendelea katika baadhi ya maeneo Jijini Arusha


Msomaji wetu Leo taarifa nyingine kubwa ni kuhusu watoto waliotekwa jijini Arusha .
Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema Ametoa kauli baada ya utekaji huo ...
Video ya VOA TV Hii hapa.



Watoto waliotekwa mpaka sasa:
1. Maureen David (6yrs), anaishi Mtaa wa Olkereyan kata ya Olasiti.

2. Ikram Salim (3yrs), anaishi Mtaa wa Burka kata ya Olasiti.

3. Ayubu Fred (3.8yrs), anaishi Mtaa wa FFU kata ya Muriet

4. Bakari Selemani (3.6yrs), anaishi Mtaa wa FFU kata ya Muriet

Kwa taarifa za kimtandao mtekaji anaonekana yupo maeneo ya Olasiti buga ya chumvi


Mwenyekiti huyu 'Daudi Safari' Aeleza A-Z Jinsi Watoto alivyotekwa Arusha .. play video hapa


baada ya hapo VOA TV Ilifika katika Kituo kikuu cha polisi Arusha (Central Police) Kuthibitisaha iwapo kama Jeshi hilo limechukua hatua zipi baada ya tukio hilo la utekaji Wa Watoto hatimaye hakukua na mafanikio yoyote kwakua RPC Hakuepo ofisini kake.

0 Comments:

Post a Comment