Wednesday, August 23, 2017

EXCLUSIVE: Lowassa amtembelea Bulaya Muhimbili

 Waziri mkuu mstaafu na mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA Mh. Edward Lowassa leo amefika hospitali ya taifa ya Muhimbili kumjulia hali Mbunge wa Bunda, Mh. Ester Amos Bulaya ambae anapatiwa matibabu hospitalini hapo baada ya kuugua ghafla akiwa rumande mkoani Mara.

No comments:

Post a Comment