BREAKING NEWS: Ajali ya moto katika kituo cha elimu Leguruki Arumeru
Breaking news:Ajali ya moto imetokea asubuhi katika kituo cha elimu LEKI Leguruki wilayani Arumeru ambapi bweni la wasichana wa shule ya ufundi Leki linaungua moto, tutazidi kuwahabarisha
No comments:
Post a Comment