UPDATES: Huyu hapa Mwenyekiti mpya Bodi ya wakurugenzi ya TRA

Rais Magufuli amefanya uteuzi kwa kumteua Prof. Florens D.A.M Luoga kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA).

0 Comments:

Post a Comment