Saturday, July 29, 2017

PICHA 3 : Ni Time ya Striker wa Taifa Stars kufanya yake Morocco..


mshambuliaji wa timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars aliyekuwa anaichezea Dar es Salaam Young Africans Simon Msuva ametangazwa kujiunga na club ya Difaa El Jadida ya Morocco.



No comments:

Post a Comment