HIVI PUNDE: William Ngeleja arejesha Fedha za ESCROW

 Mezani kwetu ni taarifa Mpya ya Waziri wa zamani wa Nishati na Madini Mh. William Ngeleja amezirejesha Fedha mgao wa escrow 

"Mimi nilipokea msaada ule kwa nia njema kama Wabunge wengine bila kujua James Rugemalila angehusishwa na kashfa za rushwa- @williamngeleja

0 Comments:

Post a Comment