EXCLUSIVE NEWS: Sentensi zote za Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Mh. Freeman MBOWE ziko hapa .......

Leo July 31 , 2017 Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA iliahidi kuaongea na umma kupitia vyombo vya Habari na yaliyozungumzwa leo na Chama hicho yote ninekuwekea hapa. Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Mh MBOWE amenena yafuatayo....

"Serikali ituambie ina mpango gani wa muda mfupi kuokoa hali yetu ya kiuchumi"

"Hatuchukii mapambano ya kutafuta haki kwenye rasilimali zetu lakini ufanyike utafiti wa kutosha"

"Kwa sababu tumeshindwa kuzalisha ndani, Serikali inakopa sana nje bila kujua nani atalipa"

"Takwimu za benki kuu zinasema kuwa kwenye benki za biashara Viwanda vimekopa 0%"


"Takwimu za benki kuu zinasema kuwa kwenye benki za biashara Viwanda vimekopa 0%"

"Viwanda vingi vimefungwa kwa sababu ya kodi mbaya hazilipiki, gharama ya kufanya biashara TZ ni maumivu makubwa sana"-Mbowe 

Soma zaidi


0 Comments:

Post a Comment