UPDATES: Zipo hapa Designs za Namna ilivyo Kaburi la Mzee wetu Ndesamburo
Ikumbukwe leo June 05 umeagwa mwili Wa Muasisi Wa Chadema Mh. Philemon Ndesamburo katika viwanja vya Majengo Moshi. Ambapo kesho ndiyo siku rasmi mazishi.
Hapa chini nimezipata Picha za Namna ilivyoundwa kaburi la Marehemu Ndesamburo.
No comments:
Post a Comment