UPDATES: Waziri Mkuu awasili Kilimanjaro kwa ajili ya Sikukuu ya Eid El-Fitri

 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro,Anna Mghwira mara baada ya kuwasili Mkoani hapo kwa ajili ya kuhudhuria ibada ya Eid Elfitr itakayo fanyika Kitaifa Mkoani Kilimanjaro. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

0 Comments:

Post a Comment