Rais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli anatarajiwa kupokea ripoti ya kamati ya pili ya uchunguzi wachumi na wanasheria iliofanya uchunguzi madini yaliyo kwenye makontena ya mchanga wa madini yaliyopo katika maeneo mbalimbali nchini.
Rais JPM atapokea ripoti hiyo siku jumatatu ijayo ya tarehe 12/06/2017
haapa chini nimekuwekea taarifa nzima kutoka Ikulu
No comments:
Post a Comment