Watu zaidi ya 20 wafariki katika ajali ya mtumbwi ilitokea katika mto mkoani Mai-Ndombe DR Congo
Watu 20 wafariki katika ajali ya mashua ilitokea katika mto mkoani Mai-Ndombe Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo.
Katika ajali hiyo watu wengine 80 hawajulikani walipo baada ya ajali hiyo.
Taarifa zinaarifu kuwa mashua mbili zilizokuwa zikiendesha uchukuzi katika mto mkoani Mai-Ndombe vilizama.
Ajali hiyo ilitokea Jumanne kutokana na hali mbaya ya hewa kama ilivyo fahamishwa na msimamizi wa shirika moja lisilokuwa la kiserikali.
Mara kwa mara ajali mashua huzama katika mto Congo kutokana na ubovu na mashua na mitambo
No comments:
Post a Comment