Monday, June 19, 2017

TAKUKURU YAWAFIKISHA MAHAKAMANI VIGOGO WA IPTL

TAKUKURU imesema inawashikilia Harbinder Singh Sethi na Jemes Rugemalila kwa makosa ya uhujumu uchumi. Wamewapelekwa kwenye mahakama ya Kisutu na baadae watapelekwa Mahakama ya Maalumu ya kifisadi.

Chanzo: TBC

No comments:

Post a Comment