Twaweza wametuletea chini ya chini ya utafiti uitwao "Matarajio na Matokeo"
Mkurugenzi mtendaji wa Twaweza Aidan Eyakuze amesema idadi kubwa ya wananchi wanazidi kukubali utaendaji wa Rais Magufuli lakini kushuka kwa kiwango chake cha utendaji ni vile pia inavyoshuka utendaji kasi wa madiwani na wabunge , Bw. Aidan amesema Kiwango hicho kimeshuka hasa pale ambapo wameangushwa katika utatuzi wa shida za wananchi..
Chanzo MCL
No comments:
Post a Comment