Hapo juu kuna tarifa ya Wizara ya habari kupitia Waziri mwenye dhamana na Wizara hiyo Mh. Harrison Mwakyembe . huku sababu ikielezwa Gazeti hilo lilichapisha taarifa kuwahusisha marais wastaafu Mh. Kikwete na Benjamini Mkapa katika sakata la Mchanga wa dhahabu.
No comments:
Post a Comment