HIVI PUNDE: Ewura yasitisha kushughulikia maombi ya IPTL
Mezani kwetu ni taarifa ya EWURA kisitisha kushulikia ombi la IPTL.
IPTL Waliomba kuongezewa Muda Wa leseni yake ya kuzalisha umeme kwa kipindi cha miezi sita.kuanzi julai 15 mwaka huuu.. Hapo juu nimeiweka taarifa nzima ya EWURA Kuhusu IPTL.
No comments:
Post a Comment