EXCLUSIVE: Hayati Dkt.Phillemon Ndesamburo aagwa kihistoria Katika viwanja vya Majengo na uwanja huo wabatizwa jina nakuitwa Ndesamburo Square.

Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Mhe.Freeman Mbowe awataka wabunge wa upinzani wawe imara sana watakaporudi bungeni,ameyasema hayo katika uwanja wa Majengo akitoa hotuba katika kutoa heshima zamwisho kwa Hayati Dkt.Phillemon Ndesamburo.



Waziri Mkuu Mstaafu na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA Taifa Mhe.Edward Ngoyai Lowassa akitoa heshima za mwisho kwa Muasisi wa CHADEMA Hayati Dkt.Phillemon Ndesamburo.
 




0 Comments:

Post a Comment