Monday, June 26, 2017

EID MUBARAK: Trump atelekza Eid Mubarak White House

US President Donald Trump talks with Secretary of State Rex Tillerson at the White House on 12 June, 2017.
Rais wa Marekani donald Trump amevunja Tamaduni ya Wmarekani na Ikulu ya nchi hiyo White house ya kuandaa chakula cha jioni kwa ajili ya kuadhimisha siku hii muhimu kwa Waislamu duniani. 

Rais Barack Obama na Thomas Jefferson watakumbukwa kuadhimisha sikukuu hiyo nchini humo kama kuenzi mfungo wa ramadhani kwa jamii ya waislamu.


No comments:

Post a Comment