Wednesday, June 21, 2017

BURUDANI: Sentensi 2 za Amber Lulu kuhusu kutoka na Diamond Platnumz.. Maneno kuntu'


"Kibongo Bongo sijaona mwanaume zaidi ya Diamond kwanza ana ni inspire na maisha yake yaani anajiweka kazi na kila kitu na sio kwamba na wish ku’date nae tuu bali kufanya nae kazi pia,” amesema Amber Lulu huku akisisitiza kuwa kila mwanamke ana ndoto za kuwa nae.
Kama ikitokea kutembea nae is ok….sio mimi peke yangu kila mwanamke anawish kuwa nae…kila mtu mimi naamini wachache sana ambao hawamuhitaji,” amesema Amber Lulu kwenye mahojiano yake na Times FM.

No comments:

Post a Comment