Saturday, June 3, 2017

Breaking news: Serikali yazuia Ndesamburo kuagwa mashujaa

Taarifa ya Manisapaa ya Moshi inaeleza kuwa kufuatia shughuli ya kuaga mwili Wa Marehemu Mh. Ndesamburo utaagwa siku ya kazi uwanja Wa mashujaa utakuwa umezungukwa na shughuli za umma kama Mahakama na ahule hivyo ungetumika uwanja Wa Majengo kwa shughuli hiyo.

No comments:

Post a Comment