Ni tamko la Katibu mkuu wa chama cha demokrasia na maendeleo Chadema kanda ya kaskazini Mh. Amani Golugwa ambaye pia ni mwenyekiti wa Chama hicho mkoa wa Arusha.
Kauli hii inakuja siku moja baada ya kufanyika kwa uchaguzi wa vitongoji katika kata za Tengeru na Kikatiti katika Jimbo la Arumeru Magharibi. uchaguzi huo ulifanyika katika vitongoji vya OldonyoNgiro , Kitongoji cha Njeku katika kata ya kikatiti, Tengeru mjini , pamoja na kitongoji cha Kwa Petro katika vituo vya Oldonyongiro Chadema ikiongoza kwa wingi wa kura ambapokura zikabadilishwa kwa CCM kupewa kura za Chadema na Chadema kupewa kura za CCM.
Katika Kitongoji cha Njeku CCM Ilipata kura 48 na Chadema kura 63 huku kuiwa na madai kuwa kura hizo baadaye zilibadilishwa. hali ambayo ilifanyika hivyohivyo katika vitongoji vingine. " Kuna madhaifu makubwa yaliyotokea madhaifu yamesababishwa na wasimamizi , kitongoji cha Njeku ambyo kipo katika kata ya Kikatiti Tulikuwa na mgombea wetu Ndugu Justine Nanyaro na Ccm walikuwa na Mgombea wao Ndugu Joseph Talala Nanyaro ambao ni Ndugu sasa kura ambazo CCM ilipata ni kura 48 na Chadema 63 baada ya kubadilishwa Ccm waliongezewa na kuwekewa kura 68 huku Chadema wakibakia 63, Mkurugenzi alifikia katika kituo cha majumuisho akawa anamlazimisha akamlazimisha Msimamizi wa uchaguzi ayabadilishe matokeo kwa kuitangaza Ccm kushinda" Alisema Golugwa
"katika kitongoji cha kwa Petro mgombea wetu Jackson Matias Nanyaro ,Chadema ilipata kura 121 CCM 89 mkurugenzi alifika katika kituo akiwa na polisi wakala wetu akalazimishwa kusani ili kubatilisha matokeo, Katika kitongoji cha Tengeru mjini Chadea 161 Ccm 135 Alifika DAS pamoja na Askari wakabadilisha kura kwa maana ya CCM kupewa kura Chadema na Chadema kupewa za CCM. , katika kituo hiki aliingia kada wa Ccm Elirehema Makleo akasababisha fujo mbele ya DAS , msimamzi wa uchaguzi , wakala wetu akareact na kuuliza kwa nini huyu mtu ameingi kwenye kituo cha majumuisha badala yake akakamatwa wakala wa chadema"
Baada ya uchaguzi huo kufanyika na matokeo hayo kubadilishwa Wagombea wa chama cha mapinduzi wamegoma kuapishwa huku wakitaka washindi halali kutangazwa na si vinginevyo kitendo kilichopelekea kukamatwa kwao na kudaiwa kupelekwa kituo kikuu cha polisi mkoa.
Kufuatia hayo Chama cha demokrasia na maendeleo kimetoa nafasi ya siku tatu kwa kamanda wa polisi mkoa wa Arusha kuwa wakamtwe na kuhojiwa Mkurugenzi wa halmashauri ya Meru na wasaidizi wasaidizi akatika vituo vya Tengeru mjini , kitongoji cha Njeku pamoja na DAS " Tunatoa Siku tatu kuwakamata wafuatao kwanza Mkurugenzi wa Halmshauri ya meru , Msimamizi Msaidizi wa uchaguzi Njeku , Msimamizi msaidizi kiyuo cha kwa petro, Msimamizi msaidizi katika kitongoji cha Tengeru mjini.
Mkurugenzi wa halmashauri ya Arumeru "Tuliwakamata viongozi wawili mmoja wa chadema na mwingine wa CCM ambao walikuwa wanasababisha vurugu, wengine waliingia kwenye chumba cha uchaguzi kinyume cha taratibu ukivuja utaratibu utakamatwa tu."
katika kuthibitisha kuwa kama watu hao walikamatwa na kufikishwa kituo kikuu cha polisimkoawa Arusha Kamanda wa Polisi mkoa wa Arusha RPC Charles Mkumbo amesema hana taarifa ya kufikishwa wagombea haop kituoni hapo.
"mimi Sina taarifa kama walifikishwa hapa" , " Vurugu zliitokea lakni zilithibitiwa na uchaguzi ukaendelea na ukamalizika salama." Alisema RPC Mkumbo
Chama hicho kimemtaka Rais wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kufikiri zadi kuhusu mkuu wa wilaya hiyo ya Meru kwani amekuwa na tabia za kujinadi kuwa yeye ana undugu na Rais huku akijiandaa kuwa mkuu wa Mkoa wa Arusha. huku wakisisitiza kuwa DC Mnyeti hatoshi kuwa mkuu wa Wilaya ya Meru.
Katibu mkuu wa Chadema kanda ya kaskazini Mh. Amani Golugwa (Kulia) Kushoto ni Diwani wa Kata ya Kikatiti na Katibu wa Chama hicho Arumeru Mh. Mungure . Picha ya V.O.A TV |
Katika Kitongoji cha Njeku CCM Ilipata kura 48 na Chadema kura 63 huku kuiwa na madai kuwa kura hizo baadaye zilibadilishwa. hali ambayo ilifanyika hivyohivyo katika vitongoji vingine. " Kuna madhaifu makubwa yaliyotokea madhaifu yamesababishwa na wasimamizi , kitongoji cha Njeku ambyo kipo katika kata ya Kikatiti Tulikuwa na mgombea wetu Ndugu Justine Nanyaro na Ccm walikuwa na Mgombea wao Ndugu Joseph Talala Nanyaro ambao ni Ndugu sasa kura ambazo CCM ilipata ni kura 48 na Chadema 63 baada ya kubadilishwa Ccm waliongezewa na kuwekewa kura 68 huku Chadema wakibakia 63, Mkurugenzi alifikia katika kituo cha majumuisho akawa anamlazimisha akamlazimisha Msimamizi wa uchaguzi ayabadilishe matokeo kwa kuitangaza Ccm kushinda" Alisema Golugwa
Kutoka kushoto diwani wa Kitongoji cha kwa Petro Jackson Matias Nanyaro , Saidi Abadala mgombea kitongoji cha Tengeru Mjini. na Bw. Nanyaro mgombea kitongoji cha Njiku. Picha ya V.O.A TV |
"katika kitongoji cha kwa Petro mgombea wetu Jackson Matias Nanyaro ,Chadema ilipata kura 121 CCM 89 mkurugenzi alifika katika kituo akiwa na polisi wakala wetu akalazimishwa kusani ili kubatilisha matokeo, Katika kitongoji cha Tengeru mjini Chadea 161 Ccm 135 Alifika DAS pamoja na Askari wakabadilisha kura kwa maana ya CCM kupewa kura Chadema na Chadema kupewa za CCM. , katika kituo hiki aliingia kada wa Ccm Elirehema Makleo akasababisha fujo mbele ya DAS , msimamzi wa uchaguzi , wakala wetu akareact na kuuliza kwa nini huyu mtu ameingi kwenye kituo cha majumuisha badala yake akakamatwa wakala wa chadema"
Baada ya uchaguzi huo kufanyika na matokeo hayo kubadilishwa Wagombea wa chama cha mapinduzi wamegoma kuapishwa huku wakitaka washindi halali kutangazwa na si vinginevyo kitendo kilichopelekea kukamatwa kwao na kudaiwa kupelekwa kituo kikuu cha polisi mkoa.
Kufuatia hayo Chama cha demokrasia na maendeleo kimetoa nafasi ya siku tatu kwa kamanda wa polisi mkoa wa Arusha kuwa wakamtwe na kuhojiwa Mkurugenzi wa halmashauri ya Meru na wasaidizi wasaidizi akatika vituo vya Tengeru mjini , kitongoji cha Njeku pamoja na DAS " Tunatoa Siku tatu kuwakamata wafuatao kwanza Mkurugenzi wa Halmshauri ya meru , Msimamizi Msaidizi wa uchaguzi Njeku , Msimamizi msaidizi kiyuo cha kwa petro, Msimamizi msaidizi katika kitongoji cha Tengeru mjini.
VIDEO NZIMA NIMEKUWEKEA HAPA MSOMAJI WANGU. Video ya V.O.A TV
katika hatua nyingine Mkurugenzi wa Halmashauri ya Meru Bw. Christopher Kazeri kufuatia kitendo hicho amesema Chama chama cha Mapinduzi kimeshinda katika chaguzi zote za hapo jana.Mkurugenzi wa halmashauri ya Arumeru "Tuliwakamata viongozi wawili mmoja wa chadema na mwingine wa CCM ambao walikuwa wanasababisha vurugu, wengine waliingia kwenye chumba cha uchaguzi kinyume cha taratibu ukivuja utaratibu utakamatwa tu."
katika kuthibitisha kuwa kama watu hao walikamatwa na kufikishwa kituo kikuu cha polisimkoawa Arusha Kamanda wa Polisi mkoa wa Arusha RPC Charles Mkumbo amesema hana taarifa ya kufikishwa wagombea haop kituoni hapo.
"mimi Sina taarifa kama walifikishwa hapa" , " Vurugu zliitokea lakni zilithibitiwa na uchaguzi ukaendelea na ukamalizika salama." Alisema RPC Mkumbo
Chama hicho kimemtaka Rais wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kufikiri zadi kuhusu mkuu wa wilaya hiyo ya Meru kwani amekuwa na tabia za kujinadi kuwa yeye ana undugu na Rais huku akijiandaa kuwa mkuu wa Mkoa wa Arusha. huku wakisisitiza kuwa DC Mnyeti hatoshi kuwa mkuu wa Wilaya ya Meru.
0 Comments:
Post a Comment