Ni Taarifa ya klusikitisha msomaji wangu kutoka Haydom wilaya ya Mbulu mkoani manyara tunaambiwa kuna ajali imetokea ambapo gari la Abiria linaloitwa Hamandos linalofanya safari zake Haydom-Maretadu limepata ajali katika daraja la Qorong'ayda na kuua watu 2 huku wengine wakiwa majeruhi taarifa isiyorasmi inasema amenusurika mtoto mmoja.
Rasmi tumempata kamanda wa polisi Mkoa wa manyara Kamanda Francis Massawe nakueleza kuwa kwa taarifa alizonazo nikwamba ajali hiyo iliyotokea jirani kabisa na hospitali ya rufaa mkoa wa manyara imeua watu 2 na amemuagiza kamanda wa kikosi cha usalama barabarani mkoa wa manyara ili kubaini taarifa zaidi huku akiahadi kutoa taarifa kamili baada ya kukamilisha.
"nimeongea na watu wa hospitali ya haydom wameniambia vifo vya watu wawili na majeruhi aliyepelekwa ICU ni mmoja na wengine wanaendelea kupata matibabu ya kawaida, taarifa zaidi tutatapata baada ya taarifa kukamilika baahati nzuri nimemtuma kamanda wa kikosi cha usalama wa barabarani mkoa wa manyara"

No comments:
Post a Comment