Saturday, June 24, 2017

BREAKING NEWS: Kutoka Marekani usiku huu msanii wa Label ya WCB Ray Vanny ni mtanzania Wa pekee Kunyakua Tuzo za BET


Mezani kwetu ni Taarifa za ushindi wa mtanzania Msanii RayVanny kwenye Tuzo za BET Awards 2017 katika Category ya Best International Viewers Choice.

Rayvanny ni msanii pekee Tanzania na East Africa kushiriki na kunyakua Ushindi katika Tuzo hizo kubwa za Dunia, Raymond alikuwa akishindania Tuzo hizo na Wasanii wengine kadhaa kutoka Uingereza,Australia ,South Africa, Canada , S. Korea na Jamaica.

List ya Wasanii waliokuwa wanashiriki category moja na Ray Vanny hii hapa.






Taarifa za hivi punde ni kwamba Tayari Ray Vanny ametangazwa kuwa mshindi katika Kipengele hicho na kukabidhiwa Tuzo hizo.

Itakubukwa kuwa miongoni mwa Wasanii hao kutoka Africa ni mwanadada Amanda Black Kutoka Afrika ya Kusini na Ray Vanny kutoka Tanzania.

No comments:

Post a Comment