Ni Maswali kutoka kwa wadau mbalimbali Wa nasuala ya siasa na masuala mengine ya kijamii.
Mapema Leo tuliripoti kuwa mama Anna Mwigira akielekea ikulu Kuapiahwa sasa taarifa tulizo nazo ni kwamba Mama huyo aliyewahi kugombea urais Wa Jamuhuri ya Muungano Wa Tanzania kupitia cha Upinzani cha ACT-Wazalendo chama inayoongozwa na Mbunge Zitto Kabwe Ameapishwa rasmi kuwa RC wa mkoa wa Kilimanjaro.
Ikumbukwe hii siyo Mara ya kwanza kwa Rais Magufuli kufanya uteuzi Wa viongozi kutoka chama hicho ambapo kabla ya Rais Wa Tanzania kumteua Ann Mgwira kuwa RC wa mkoa Wa Kilimanjaro Rais JPM alishamteua Profesa Kitila Mkumbo kuwa Katibu mkuu wa wizara ya Maji.
Imekuwa ni mfumo wa serikali ya awamu tano kuwateua viongozi kutoka upinzani ambapo ilianza kwa kuteuliwa Mwenyekiti wa chama cha upinzani cha TLP Mzee Augustino Mrema kuwa Mwenyekiti wa bodi ya PAROLI Tanzania ambayo inahusika na misamaha kwa wafungwa.

0 Comments:
Post a Comment