Nimekusogezea content kutoka TZA
Zaidi ni kwenye hii VIDEO hapa chini ambayo unaweza kutazama kwa ku-play!!!

Waziri wa Habari Dr. Harrison Mwakyembe (kushoto) akiwa na CEO wa Everton Robert Elstone (katikati) na Kiungo wa zamani wa Chelsea Leon Osman (kulia)

Waziri Mwakyembe (kulia) akitoa maelekezo kwa CEO wa Everton Robert Elstone (katikati) na Leon Osman

Kiungo wa zamani wa Chelsea Leon Osman akisalimiana na timu ya watoto huku Waziri wa Habari Dr. Mwakyembe (mbele kulia) akitoa utambulisho

Waziri wa Habari Dr. Mwakyembe (kushoto) akifafanua jambo. Pembeni yake ni CEO wa Everton Robert Elstone (katikati) na Leon Osman
Endelea kubaki nami ikiwa ni pamoja na kwenye Mitandao ya kijamii Facebook ,Twitter, Instagram, kote kwa jina la Habari Tanzania Grace Macha bila kusahau kutazama Latest Videos zote katika V.O.A TV YouTube

No comments:
Post a Comment