Saturday, May 20, 2017

VIDEO UPDATES: Wananchi waeleza hali ulilivyokuwa walipokubwa na Kibunga wiki hii.

Mashuhuda wameeleza hali ilivyokuwa wakati kimbunga hicho kilipoanza kuikumba Zanzibar 
“Tukio la Kimbunga lilitokea kweli kama majira ya saa 3:15 asubuhi…nikasikia midato mikubwa sana aina ya Radi…nikatoka kwenye kibanda kusimama nje, kutizama juu nikaona siyo Radi. Nikaona mabati yanaanza kusambaa juu yamegawika katika sehemu mbili; yaliyokuwa yanapita mbali na yaliyokuwa yanapita chini chini.” – Suleiman Ally Makame.

Video kutoka Ago TV IPO hapa Bonyeza na utazame wanachoeleza.



No comments:

Post a Comment