Tuesday, May 30, 2017

VIDEO: Ni Diamond Platnumz na Alichokifanya Nairobi, Kenya

Wakati ikisubiriwa official video ya performance ya Diamond Platnumz katika Karoga Festival Nairobi Kenya hii ni kionjo cha show hiyo kutoka V.O.A TV  , ambapo msanii huyo aliwapagawisha mashabiki wake nchini Kenya , kilichofirahisha zaidi ni pale alipomsifu Mchekeshaji maarufu Afrika Mashatiki Mkenya Eric Omondi.

Play video toka V.O.A TV hapa

No comments:

Post a Comment