Tuesday, May 9, 2017

VIDEO: Kamanda wa Polisi Mkoa wa Aruaha Charles Mkumbo , Amethibitisha kuwa jeshi hilo linamshikilia Mmiliki wa shule ya Lucky Vincent kwa kosa la kuzidisha idadi ya abiria kwenye gari la wanafunzi lililopata ajali na kuua watu 32 mkoani Arusha.

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Arusha ( RPC )Charles Mkumbo  amesema wanamshikilia mmiliki wa gari lililopata ajali ambaye pia ni mmiliki wa shule ya #LuckyVincent.
 Uchunguzi wa awali unaonyesha gari walilotumia wanafunzi hao aina ya coaster ina uwezo wa kubeba abiria 30 lakini wao walipakia abiria 38

Ameongeza kuwa uchunguzi ukikamilika watamfikisha mahakamani kujibu tuhuma zinazomkabilia.

No comments:

Post a Comment