Rais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania DKT. John Pombe Magufuli alikuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya siku kuu ya wafanyakazi inayofanyika May 1 kila mwaka ambapo mwaka huu sikukuu hiyo imefanyika mkoani Kilimanjaro.
![]() |
| Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mecky Sadick |
![]() |
| Rais JPM pamoja na Viongozi mbalimbali wakishuhudia maonesho mbalimbali katika Sikukuu ya Wafanyakazi MeiMosi |
![]() |
| Rais Magufuli na viongozi mbalimbali wakishuhudia Maonesho mbalimbali katika sherehe za siku ya wafanyakazi mei mosi |
![]() |
| Wananchi walihudhuria sikukuuya wafanyakazi , Mei mosi ambayo kitaifa imefanyika mkoani Kilimanjaro. |
![]() |
| Kauli mbiu ya sherehe za Mei Mosi mwaka huu |
![]() |
| Wananchi waliohudhuria sikukuu ya Mei Mosi |














No comments:
Post a Comment